Taaluma nyingi nchii hii hazitumiki na waajiri hawajui wapi ujuzi huo unastahihili kutumika

hii ya mwisho angalau, ina kitengo ndani ya idara ya elimu.
Hizo za juu zinaongoza kwa kusomewa masters watu wanatafuta madaraka tu.
Hizo course hapo nilizozitaja kama wenye mamlaka wangezizingatia hao watu nje na elimu wanaweza kufanya kazi nyingi sana kama za utendaji,afisa maendeleo, mipango nk lakini Cha ajabu hizo courses ati hata utumishi juzi wamezikataa kwenye ajira za ualimu Sasa wakaombe ajira gani hao watu?
 
Tunapoteza wataalamu wengi ,hivi Bachelor of arts in human resource management, Hana anachomzidi aliyesomea Bachelor of arts in industrial and organizational psychology. Sasa kama wameziondoa ina hawajui umuhimu wao zaidi ya kufundisha masomo darasani.
 
Tuombe viongozi wetu wapitishwe msasa ,kuhusu kozi hizo.
 
Kama nchi hatuna utilization sector ya hizo cozi, bado tunasomesha watu ilimradi wapate degree na si waendane nq soko lasasa ambalo linabadilika kwa kasi
 
Mbona nilishawambia nje ya degree ya udoctor na uwalimu ni utapeli Kwani bado hamuelewi
 
Bachelor of arts in economics si kuna wachumi kwenye mabenki mbalimbali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…