Opportunist
Member
- Mar 19, 2009
- 17
- 12
walio feli ni division 0 sio 1v.mwenzenu huwa natatizwa na selection ya form iv kwenda form v, vyuo nk. Huwa inakuwaje waliofaulu vizuri wanaenda a-level, vyuo vizuri nk, lakini wale wa karibu na kufeli kabisa kama div iv.28 hivi ndo wanaopelekwa ktk kozi za ualimu, tunategemea nini kwa watoto wetu mashuleni wanapofundishwa na 'failures'? Nisaidieni
.... lakini wale wa karibu na kufeli kabisa kama Div IV.28 .....
Mwenzenu huwa natatizwa na Selection ya Form IV kwenda Form V, Vyuo nk. Huwa inakuwaje waliofaulu vizuri wanaenda A-Level, vyuo vizuri nk, lakini wale wa karibu na kufeli kabisa kama Div IV.28 hivi ndo wanaopelekwa ktk kozi za Ualimu, tunategemea nini kwa watoto wetu mashuleni wanapofundishwa na 'failures'? Nisaidieni