Mjomba Fujo
JF-Expert Member
- Oct 27, 2012
- 2,438
- 6,313
Kuna ukweli kiasi gani?
Nani kaonewa hapo?
Weka maoni yako?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wahandishi = waandishi. Ni ngumu kuamini haya matokeo ya huu utafiti uliofanywa na mtafiti mjinga mjinga ambaye anachanganya lugha ya kiingereza na kiswahili kwenye andiko la kisomi. Itoshe kusema WATANZANIA HATUUAMINI HUU UTAFITI WA KIJINGA.
Punguza hasira mkuuWahandishi = waandishi. Ni ngumu kuamini haya matokeo ya huu utafiti uliofanywa na mtafiti mjinga mjinga ambaye anachanganya lugha ya kiingereza na kiswahili kwenye andiko la kisomi. Itoshe kusema WATANZANIA HATUUAMINI HUU UTAFITI WA KIJINGA.
Madalali 😂😂😂😂😂👏👏👏👏
sasa mbona madalali tumeonewa sana aisee
Dalali ni mwanasiasa asiye na cheo.huu utafitio pia hauaminiki
dalali anakuhudumia kulingana na mahitaji yakoDalali ni mwanasiasa asiye na cheo.
Ukimsikiliza na kumuangalia kwa makini ni kama anahuruma sana na shida zako na yupo hapo kwa ajili yako ila kiuhalisia ni pesa yako ndio inawindwa kwa udi na uvumba 😁
madalali mna mbingu yenu 🙌🙌🙌🙌🙌