Taaluma zinazoongoza kwa kuaminika zaidi Tanzania

View attachment 2827338

Kuna ukweli kiasi gani?
Nani kaonewa hapo?
Weka maoni yako?
Wahandishi = waandishi. Ni ngumu kuamini haya matokeo ya huu utafiti uliofanywa na mtafiti mjinga mjinga ambaye anachanganya lugha ya kiingereza na kiswahili kwenye andiko la kisomi. Itoshe kusema WATANZANIA HATUUAMINI HUU UTAFITI WA KIJINGA.
 
Punguza hasira mkuu

Kwani wewe ni mwanasiasa? πŸ˜‚
 
huu utafitio pia hauaminiki
Dalali ni mwanasiasa asiye na cheo.

Ukimsikiliza na kumuangalia kwa makini ni kama anahuruma sana na shida zako na yupo hapo kwa ajili yako ila kiuhalisia ni pesa yako ndio inawindwa kwa udi na uvumba 😁

madalali mna mbingu yenu πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ
 
dalali anakuhudumia kulingana na mahitaji yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…