Taarab: Special thread

Baltasar

JF-Expert Member
Joined
Sep 12, 2023
Posts
1,736
Reaction score
13,864
Hii ni special thread Kwa wapenzi wa muziki wa mwambao wa Pwani.


Natoa nafasi - Zuhura shaabani
Your browser is not able to play this audio.
 
Kuna ile. Mm sjui kuattach, maana hizo nyimbo sina kwa cm.

Heshimaa yangu imewatia kiburi mnanipaka matope eheeee
Aaah na utu wangu umewatia jeuri mnaona sjui mfanyaje..
Aha basi wenzanguuuuuu
Huo si ujabaliiii
Hayo ni malupe lupeee eheee

πŸ˜€πŸ˜€ enzi hizo. Utaiambia nn daslam na taarabu.
 
Sasa nawapa usiaaa
Mpendapo mtazame
Wengine si wanaume
Wengine magumegume
Rusha roho taratibu
Tena nyuma utazame
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ ila mama Zuchu. Enzi hizo hata Zuchu hajulikani
 
fatma nyoro huyu dada nmkubali ana sauti nzuri yeye ashura machupa pamoja na leila rashid
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…