Taarab: Special thread

embu mtu atupie ngoma ya mwanamke hulka sijui kaimba mma gani yule nliicheza sana kwenye kigodoro hii miaka ya 2008-9
 
kuna zile siku huwaga namiss taarabu nakula earphone zangu naskiliza tu maana kukuta libaba linaskiloza taarabu kwa sauti jau
 

Attachments

  • 206DC970-BB66-4515-8FBF-58AD74208646.png
    1.2 MB · Views: 8
Mimi mwanaume mwenzangu ukishaanza kucheza huku unazungusha kidole (taarab style)lazima niweke kiulizo
 
Uswazi enzi hizo kwenye sherehe za kukesha na muziki tuliita vigodoro nyimbo za taarab zilichukua nafasi kubwa sana. Ndio zilizomtoa Msagasumu. Na ndio nyimbo zilizozaa singeli kutokana na kuweka machombezo katika wimbo wanaita radha.
 
kuna ile wanaimba

usishindane na mimi, mimi ni mzuri na utamu nnao πŸ˜‚πŸ˜‚


na ile usione kakonda ukadhani hali namlisha wali na nyama kilo mbilo
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… mi nachekaga tu....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…