Niungane nawe, unatapeliwaje kijingajinga, mtu mzima unatumaje hela ya mayai wakati ukitembea mjini station za wauza mayai wa jumla kibao, labda kama yeye alikuwa na nia ya kutapeli akatapeliwa.Nadhani mtu wa kushughulikia hapa sio huyo tapeli ila aliye tapeliwa ndio anapaswa kukamatwa na kushitakiwa kwa ujinga na uzembe wa hali ya juu ambao unasababisha watu kuona kutapelu ni fursa ya kiuchumi. Huwezi mtumia pesa mtu usiyemjua halafu uonekane bado una akili timamu ebo!!!
hahahahahahaTena mbaya zaidi anakwambia utume na ya kutolea
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tena mbaya zaidi anakwambia utume na ya kutolea
Kwann usimwambie pesa ipo lete mzigo ukifika unachukua pesa yoteNadhani hata humu ni mahala sahihi pakutolea taarifa hii:
Kumekua na wimbi la utapeli unaofanyika na watu wanaojipambanua kua wanahusika na kampuni ya usambazaji wa mayai ya kisasa, watu hawa uwaambia wateja watume fedha nusu kwa kiasi cha idadi ya tray za mayai wanazotaka then nusu iliyobaki watawalipa watakapo fikisha mzigo sehemu husika hivyo mtu akituma hiyo fedha basi imekua ameshatapeliwa.
Namba anayotumia kufanya utapeli ni 0786869108 mtu huyu anasema yupo kisiju na mbeya.
Hivyo vyombo husika tunaomba mshuulikie swala hili kikamilifu
Nadhani hata humu ni mahala sahihi pakutolea taarifa hii:
Kumekua na wimbi la utapeli unaofanyika na watu wanaojipambanua kua wanahusika na kampuni ya usambazaji wa mayai ya kisasa, watu hawa uwaambia wateja watume fedha nusu kwa kiasi cha idadi ya tray za mayai wanazotaka then nusu iliyobaki watawalipa watakapo fikisha mzigo sehemu husika hivyo mtu akituma hiyo fedha basi imekua ameshatapeliwa.
Namba anayotumia kufanya utapeli ni 0786869108 mtu huyu anasema yupo kisiju na mbeya.
Hivyo vyombo husika tunaomba mshuulikie swala hili kikamilifu
Kuna aina nyingi za utapeli .
1.kuna wale matapeli ambao wanawatapeli wauzaji wa simu kwenye mitandao yaani anaorder simu nyingi na unamletea alipo mfano mkutano Ubungo stendi,au Temeke Sudani au Stendi ya Mbezi mwisho ukishapokea mzigo anajifanya anakupa pesa kwa njia ya NBC bank kisha unapokea meseji kutoka NBC kuwa umepokea pesa ya malipo kutoka kwa labda Juma lakini ukweli hiyo huwa siyo mseji ya pesa huwa ni meseji tu ya kawaida mkiachana na wewe ukitaka kutoa pesa ndipo inagundua kuwa umepigwa,
2.Upigwaji mwingine ni wa kutapeliwa Magari huko mtandao wa kupatana hivyo kama unataka kununua gari kupitia Mtandao hakikisha wakati wa malipo unakwenda kupewa akaunti ya benki ndani ya ofisi za Yard usikubali kulipa juu kwa juu maana wengi wanaoweka matangazo huko Mtandaoni ni Matapeli tu kwa ushauri wa kina nenda kachague gari kwenye yard bila kumpa taarifa yoyote yule na hakikisha unaingia ndani ya ofisi za Yard naunamlipa muhusika kulingana na akaunti aliyekupa au cash,Pia jitahidi kusoma matangazo yote yaliyobandikwa hapo yard .
3.Utapeli wa fashion za kimasai
4.Utapeli wa Mecury
5.Utapeli kwa njia ya Mtandao huu inawahusu hasa mawakala na wale wenye pesa nyingi mitandaoni
6............
🤣🤣🤣Huyo mnayemwita tapeli namshauri next time awagegede bure maana vichwa vyenu vina kamasi.