taarifa ajira bima ya afya!!!

aikaruwa1983

JF-Expert Member
Joined
May 6, 2011
Posts
1,398
Reaction score
1,500
habari wana jf......mm msaka ajira nilibahatika kwa mara ya kwanza baada ya kukaa miaka miwili home after graduu. kuitwa kwenye usaili bima ya afya na post ilikuwa "temporary employment" na pepa yenyewe ilikuwa nyanya kama si masalo......ss naona kimya if kuna mwenye taarifa kama vijana wameshaitwa kuanza kazi niambieni maana haya matumaini niliyonayo niyaondoe coz mwaka unakatika huuu.......plz mwenye info ani
 
Waswahili wanasema UKIONA MANYOYA UJUE KALIWA"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…