Pukudu JF-Expert Member Joined Jan 7, 2011 Posts 3,149 Reaction score 2,232 Jan 20, 2012 #21 Mohammed Shossi said: Tena usije kushangaa jamaa amepangiwa kufundisha kiswahili sasa hizo "cz" "bt" "so nilivyomtel" sipati picha! Nadhani sasa hivi kwa wasiokuwa na uwezo wa kuwasomesha watoto wao shule binafsi wawafundishe wenyewe tu majumbani. Click to expand... True mbona hata watoto tunawambia wawambie wazazi wao kuwa si tunazuga malipo ya kishenzi hatuwezi kujituma na kosa ni lao kuchagua serikali legelege
Mohammed Shossi said: Tena usije kushangaa jamaa amepangiwa kufundisha kiswahili sasa hizo "cz" "bt" "so nilivyomtel" sipati picha! Nadhani sasa hivi kwa wasiokuwa na uwezo wa kuwasomesha watoto wao shule binafsi wawafundishe wenyewe tu majumbani. Click to expand... True mbona hata watoto tunawambia wawambie wazazi wao kuwa si tunazuga malipo ya kishenzi hatuwezi kujituma na kosa ni lao kuchagua serikali legelege
Mhadzabe JF-Expert Member Joined May 20, 2009 Posts 3,236 Reaction score 4,746 Jan 20, 2012 #22 Mohammed Shossi said: Hata akam ni mwalimu wa sayansi kimu ni lazima aweze kuandika kiufasaha na kueleweka! inaelekea wewe pia ni mmoja wao! na wengi wenu mnataka kuchaguliwa mnapewa posho za kwenda vituoni halafu mnaingia mitini! Click to expand... Mo do not make generalization kwa watu/vitu usivyo vijua. Kwa taasifa yako,Mimi ni wewe kwa kuwa ni wewe unaejiona upo perfect!
Mohammed Shossi said: Hata akam ni mwalimu wa sayansi kimu ni lazima aweze kuandika kiufasaha na kueleweka! inaelekea wewe pia ni mmoja wao! na wengi wenu mnataka kuchaguliwa mnapewa posho za kwenda vituoni halafu mnaingia mitini! Click to expand... Mo do not make generalization kwa watu/vitu usivyo vijua. Kwa taasifa yako,Mimi ni wewe kwa kuwa ni wewe unaejiona upo perfect!
B Bajabiri JF-Expert Member Joined Jan 1, 2011 Posts 9,728 Reaction score 1,204 Jan 20, 2012 #23 JamboJema said: Lugha rasmi ni ipi? Nani anairasmisha? Click to expand... kiswahili na kinarasmishwa na serikali kupitia BAKITA
JamboJema said: Lugha rasmi ni ipi? Nani anairasmisha? Click to expand... kiswahili na kinarasmishwa na serikali kupitia BAKITA