Jamani eee,, kunajamaa zangu wanaishi Majengo Dodoma na Jana walienda pale Tamisemi kuuliza kama waliokwisha ona ajira na vtuo vyao waende tar. mosi kuripoti au wasiende. Jibu walilopewa ni hili;: TUMEONDOA MAJINA KWA MUDA NA SIO KWAMBA TUMETENGUA AU KUFUTA AJIRA KWA WALE WALIOKWISHA AJIRIWA NA KUPANGIWA VITUO. KAMA UMESHA AJIRIWA NA KUPANGIWA HALMASHAURI BASI NAJUA UNAFAHAMU NN CHA KUFANYA. NYIE NI WASOMI JARIBUNI KUFIKIRI. UNATAKIWA KURIPOTI KAMA ULIVYOPANGWA NA KWA TAREHE ULIYOPEWA."
Jamaa wakaondoka ofisini mikono nyuma. But Nadhani hapo nitakua nmesaidia watu kidogo. mm mwenyew kesho naanza safar kwenda kuripoti. unatakiwa kuripoti kama ilivyokua mwanzo.
.....CTAK MASWALI TENA
......💪💪💪💪💪💪💪💪 uzi huu haujatukana mtu tafadhali watu watakosa ajira zao wasipo pata taarifa hii sooo naomba usitolewe