Taarifa heslb

Vipi wanasemaje kama kunaweza kuwa na batch ya pili!? Ama hii iliyopo ndio ntolee
 
kuna vitu 4 NO LOAN,NIL,NOT ACQUARE$NOT SECURE haya kuna baadhi yetu wameandikiwa ila mwaka 2 wanasema hawajatoa but kiukwel watu tuliongea nao ni watu wa reception wakjdai kuwa ni wakurugenz ndio maana hawakutoa majib ya maana kila anayekuja ana lake ila MKURUGENZI alikuja baadae xana na hakuongea na Raia but mimi nililazimisha kuingia ndani il kutoa kero zetu na tulikuwa wawil tu kasema twende mapema kesho il tupew majibu ila usipojua utazan Joyce Mgaya ni MKURUGENZI kumbe zengw maana hawajui wanachokisema maana wamesema wao COURSE zenye priority NI Education {science&arts),,petroleum&mining ni lazima upate mkopo pia Agriculture is a third priority according to them after Doctor,Education xo nikamtupia swali mbona sasa Education watu wamekosa et ee appeal Swali katupiwa tena Registration atafanya vp hana pesa ooh! jpge pge mwanzo huku HESLB iktafakari jinsi ya kukusaidia Swali tena Huoni mtu anaweza kufanya hivyo kaenda CHUO alaf kakosa tena MKOPO aka-drop CHUONI pesa yake ikawa imepotea
 
nimepata kumlizia vp mnaweza kuwahakikishia watu mnaodai COURSE zao ni priority na wamekosa kuwa watapewa il wafanye maandalizi kwani vyuo vimefunguliwa binafsi alishindwa kujib Dada Joyce Mgaya kesho ndio swali langu la kwanza nitakalo muliza MKURUGENZI achana na customer care wanaotoa majb kama wamekunywa virobo
 
Hongera sana ndg kwa taarifa yako iliyojaa hekima,hakika umegusa hisia ya kila mmoja wetu hapa jamvin na muasilika katika tukio hili baya la HESLB.Lazima hao jamaa watambue kuna watu bado tupo mikoan hivyo wajipange vizur kwa majibu ya kuridhisha,tunawasikiliza na tunategemea update zenu ili twende pamoja.

Kind regards.
 
Asante sana mkuu kwa taarifa yako kwan ume2saidia ata cc wa mikoan.
 
The student with Index number 'S16**.00**.2010' did not secure a higher education loan for 2013/14 academic year.
 
haha hahaa hiyo did n't secure imekuwa habari ya jiji
 
kazeni buti ila nawashauri acheni matusi kwa chama tawala.
 

nimekuelewa sana kijana
 
me naona hakuna utaratibu iliofuatwa pesa zimetolewa kwa sandakalawe mwenye kupata apate,aliyekoswa amekoswa tu!! inauma sana cjui hatma yangu daa!!HESLB basi tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…