Taarifa heslb

witacha matiku

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2013
Posts
722
Reaction score
237
Nilizani kuwa tayari mmepata taarifa kuhusu open conferance kumbe bado,, Lakini mda wote Viongozi wetu huwa wanatafuta mbinu how to defend themselves but n't how to solve the problem hii imekuwa ni kawaida kwao jana Open conferance MULUGO KAMA NAIBU WAZIRI ALITOA MAJIBU KUWA BUDGET HAITOSHI NA WALIOKOSA WANAWEZA KU-POSTPONE HADI HAPO MWAKANI AU ANAYEWEZA AJISOMESHE ila watatoa utaratibu wa appealin' but kwa wale tu ambao form zao n't incomplete,,,,:jamani imefikia hatua ya kusema utatuzi wa matatizo yatabaki kwako mwenyewe sio serikali tena kama hii isiyo nahuruma watu wamezungushwa zungushwa hatimaye wametafuta defensive mechanism {mulugo} amekuja akamwaga yake ya moyoni kamaliza, kukimbia kote hadi kwa waziri mkuu na Rais ila majib yamekuwa ya kawaidaaaaa!na shauri HATA HAPO MWAKANI JIPANGE TU UKASOME SIO UKATEGEMEA KUWA KUNA HESLB MAANA UNAWEZA TENA UKAKOSA "MAISHA NI VITA"you should fight
 
Poleni wote mliokosa. Ila aliposema mwakani alimaanisha watatoa mkopo kwa wengi kwa maana wanahitaji kura zenu 2015
 
Inauma sana,ukiangalia hata waliopewa mkopo,sio wote wamependa kusoma hizo program.ndio maana unaona kila sekta kuna matatizo,
 
Ok Pouwa Ama Zangu Ama Zao. Kila Wizara Manyang'au Embu Tuliyekosa Mikopo Tujiulize Je Rizuani Hakuwa Na Uwezo Hadi Kulipiwa Ada Pamoja Na Yule Mke Wake. Sijachoka Taifa Langu Nimechoka Ccm. Lakini Kwa Cc Tuliyokosa Mkopo Tunaelewa Kwamba Huwa Ufisadi Wameufanya Ndio Tumekosa Mkopo? Tuna Madini Bandari Utalii Hawakuwa Wanajua Kutaongezeka Idadi Ya Watakaohitaji Mkopo! Kwa Wale Wanauchumi Mnaelewa Nafikiri Kuna Kitu Kinaitwa Tax Holiday. Wanatuangamiza Hawa Hawatufai. Nakumbuka Hotuba Za Nyerere Kwamba Siasa Na Biashara Haifai Wameingia Wafanyabiashara Kwenye Siasa Na Ndo Maana Wanaingia Mikataba Mibovu Na Rushwa Kama Sala. Uamuzi Tunao Wenyewe Ccm Natamani Wangetokomea Kama Moshi Wasijulikane Wameenda Wapi! Mama Yangu Nashukuru Umenizaa Ila Nalaumu Kuikuta Ccm Wasiyo Na Upendo. Mungu Bariki Upinzani Ila Chama Cha Kutetea Haki Za Wanyonge, Bariki Tanzania, Na Ikataaa Ccm Kwa Jina La Yesu, Bwana Yesu Tupiganie Pambana Na Ccm Maadui Zetu Tuondolee Utawala Wa Kifisadi Na Kiimla
 
Sawa kabisa,,,lakini nikuasmbie kitu,,,atawakoloni walipanda mbegu ambazo,,baadae zikawaalibia wenmyewe,,mbegu hizo zilikuwa kama,,unyanyasaji,,,mateso,,,,na zingine,,hicho wanachofanya hawa jamaa ambao wapo madalakani saiz,,,ndio kileta ukombozi,,,wala usichukie,,,,waombee,,,waendelee kufanya manyanyaso mengi mpaka wale wanaoendelea kukibali hicho chama,,,wajute,,,,mimi nawapongeza,,,,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…