Tafadhali naomba maelezo kuhusu chainsaw,kwa wale wanaofahamu.
Je bei za Chainsaw zikoje?
Ni brand gani ambazo zinafanya kazi vizuri na kwa ufanisi?
Huwa zinatumia mafuta kiasi gani kwa saa on average?
Je kuna kodi zozote au vibali unavyotakiwa kuwa navyo ili kuweza ku-operate hizi mashine?
ahsanteni
Mkuu amini HAZIRUHUSIWI kabisa hapa Nchini kwa ajili ya Mazingira
Ngoja waje wajuzi wanaoishi kwenye Misitu km ya West Kilimanjaro, Rombo, Kibosho na kwingineko nimeshasikia na sijasikia km wameshaziruhusu zitumuike tena mwamini kimondo atakuongezea habari zaidi