Taarifa kuhusu hali ya maisha na Utulivu wa Tanzania

Mhafidhina

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2008
Posts
549
Reaction score
23
Wanajamii,

Nimekutana na hii report ya one of the detailed research kuhusu hali ya maisha ya watanzania na utulivu tulionao. Kwa kweli hii report inazungumzia ukweli wa hali halisi ambao hata mimi naungana nao.

Just take your time and read it...!

A New Paradigm in Development Cooperation?
 
Hivi inaweza kuwa ni violation of copyright iwapo utaikopi na kuipaste hapa kwenye jamvi? Pengine itawasaidia magamba kuelewa ukweli kuhusu Tz. Maana kuna watu humu kama akina Faiza Foxy, wanaamini kwamba Tanzania ni salama sana. Na kuwaona wanaopingana na mitizamo yao kama wachochezi.
 
Endeleeni na uchochezi lakini ni budi mkumbuke hakuna amani mbaya wala vita nzuri.
 
Endeleeni na uchochezi lakini ni budi mkumbuke hakuna amani mbaya wala vita nzuri.


Kusema ukweli ni uchochezi? Kwani wewe huoni mabadiliko?
Zamani tukikamata mwizi kama hakuna kituo cha polisi karibu tulikuwa tunampeleka kwenye ofisi ya CCM, siku hizi nani anaweza kuthubutu kumpeleka mwizi kwenye ofisi ya CCM? Do you know why? watu wanawasiwasi kuwa huko ndiko kuna wezi kwenyewe. Si uchochezi, na wanaosema wajivue gamba wanajua wanachosema
 
Reactions: Aza


ripoti nzuri ila aliye andika ni nani katika nchi yetu africa kwa ujumla mlengo wake je?
 
nimeipitia na mimi, yaliyoelezwa ni kweli kabisa. Especially when it comes to arguements to establish a common ground on issues.
 
Duh! Hii report ni ndefu kweli na ninavyowajua watanzania wachache sana wataisoma kama nilivyoisoma mimi mpaka mwisho. Yaani alichoandika huyu mwandishi ni kweli tupu, hajaongeza chumvi wala kupunguza. Sasa kazi kwetu, kunyoa au kusuka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…