Taarifa kuhusu members education approach

EdAp

Member
Joined
Oct 24, 2011
Posts
9
Reaction score
1

Asasi ya kiraia ya Education Approach inapenda kuwashukuru wote mliotutumia email, kupiga simu na sms. kwa sasa, kwa wale wote walio na uhitaji wa kuwa member wa Asasi, tunaomba mtume CV zenu kwenye email zetu ambazo ni educappro@yahoo.com na educappro@gmail.com na pia tunapokea sms kwenye namba zifuatazo 0715922392, 0767922392, 0714025656, 0713921703. tuma jina pamoja na taaluma yako. Asanteni sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…