Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 3,585
- 8,106
Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta na Mkewe Margret watawasili Kisumu Mei 31, 2021 kwa ziara ya kikazi ya siku tatu
Rais wa Burundi Evariste Ndayishimiye na Mkewe Angeline Ndayubaha watawasilii Kisumu Mei 31,2021 kwa ziara ya Kikazi ya siku mbili
Viongozi hao wataungana na Raila Odinga pamoja na Viongozi wengine kuzindua miradi mbalimbali ya maendeleo inayogharamiwa na Serikali kwenye Kaunti ya Kisumu & Mkoa wa Nyanza