Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 3,585
- 8,106
Vipi kuhusu Makamu wa Rais William Samoei Rutto na Mke wake Lenna hawakualikwa au ndio mambo ya BBI!!Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta na Mkewe Margret watawasili Kisumu Mei 39,2021 kwa ziara ya kikazi ya siku tatu
Rais wa Burundi Evariste Ndayishimiye na Mkewe Angeline Ndayubaha watawasilii Kisumu Mei 31,2021 kwa ziara ya Kikazi ya siku mbili
Viongozi hao wataungana na Raila Odinga pamoja na Viongozi wengine kuzindua miradi mbalimbali ya maendeleo inayogharamiwa na Serikali kwenye Kaunti ya Kisumu & Mkoa wa Nyanza
Mkuu May 39 ?Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta na Mkewe Margret watawasili Kisumu Mei 39,2021 kwa ziara ya kikazi ya siku tatu
Rais wa Burundi Evariste Ndayishimiye na Mkewe Angeline Ndayubaha watawasilii Kisumu Mei 31,2021 kwa ziara ya Kikazi ya siku mbili
Viongozi hao wataungana na Raila Odinga pamoja na Viongozi wengine kuzindua miradi mbalimbali ya maendeleo inayogharamiwa na Serikali kwenye Kaunti ya Kisumu & Mkoa wa Nyanza
Duh, hiyo kali.Mkuu May 39 ?
Rais Ndayishimie ni kipenzi chake tundulissu so to speak, a awadharau sana Burundi kila akipata nafasi kwenye campaign yake alikuwa akiwakandia kama nyanyapa akiwafananisha na "Magufuli wenu". Sasa mwenziye anakata mitaa Nairobi yeye yuko mafichoni like a cor ered rabbit, ema kweli dunia na tambara bovu. Hivi, kuuliza si ujinga: huyo mbunge wetu wa zamani wa Kigoma siyo Mrundi kweli?Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta na Mkewe Margret watawasili Kisumu Mei 39,2021 kwa ziara ya kikazi ya siku tatu
Rais wa Burundi Evariste Ndayishimiye na Mkewe Angeline Ndayubaha watawasilii Kisumu Mei 31,2021 kwa ziara ya Kikazi ya siku mbili
Viongozi hao wataungana na Raila Odinga pamoja na Viongozi wengine kuzindua miradi mbalimbali ya maendeleo inayogharamiwa na Serikali kwenye Kaunti ya Kisumu & Mkoa wa Nyanza
Rais Ndayishimie ni kipenzi chake tundulissu so to speak, a awadharau sana Burundi kila akipata nafasi kwenye campaign yake alikuwa akiwakandia kama nyanyapa akiwafananisha na "Magufuli wenu". Sasa mwenziye anakata mitaa Nairobi yeye yuko mafichoni like a cor ered rabbit, ema kweli dunia na tambara bovu. Hivi, kuuliza si ujinga: huyo mbunge wetu wa zamani wa Kigoma siyo Mrundi kweli?
Angekuja angefufuka?Huyu Evariste Ndayishimeye hakuja kumzika mwendazake.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]tundu ni mjinga sanaRais Ndayishimie ni kipenzi chake tundulissu so to speak, a awadharau sana Burundi kila akipata nafasi kwenye campaign yake alikuwa akiwakandia kama nyanyapa akiwafananisha na "Magufuli wenu". Sasa mwenziye anakata mitaa Nairobi yeye yuko mafichoni like a cor ered rabbit, ema kweli dunia na tambara bovu. Hivi, kuuliza si ujinga: huyo mbunge wetu wa zamani wa Kigoma siyo Mrundi kweli?
Tundu la nyuma?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]tundu ni mjinga sana
Shida yote hiyo ya nini kwa nchi masikini kama Burundi na Rwanda wakati njia rahisi na nafuu ipo central corridor na watasave alot of money.....Kuna wakati flani Kenya ilikua imepropose mizigo ya kutoka Kenya kwenda Rwanda,Burundi, DRC ipitie Kisumu kwenye ziwa hadi bandari itakayokuwepo Kagera alafu kutoka hapo itakua ni mahali padogo pamebaki mizigo uvuke Tz na kuingia hizo nchi. I hope huyo Evariste atapewa hilo wazo alitie akilini.
Shida yote hiyo ya nini kwa nchi masikini kama Burundi na Rwanda wakati njia rahisi na nafuu ipo central corridor na watasave alot of money.....
Jamani waswahili wacheni manenoVipi kuhusu Makamu wa Rais William Samoei Rutto na Mke wake Lenna hawakualikwa au ndio mambo ya BBI!!
Tz mnajenga SGR ndefu sana ambayo inagarimu mabilioni na lengo kuu ni kuifikisha kwa hizo nchi maskini ulizotaja, so labda uanze wewe kutuelezea kwanini mnatumia pesa nyingi zaidi kupeleka reli mpya kwa nchi maskini.Shida yote hiyo ya nini kwa nchi masikini kama Burundi na Rwanda wakati njia rahisi na nafuu ipo central corridor na watasave alot of money.....