Taarifa kutoka TCU

Usitubabaishe na vi message vya kishamba hivyo huo utaratibu kama ni wa nyumbani kwenu uctuletee hapa kwani admission letter ina kazi gani ww umekaa huko na wapuuzi wenzio mkatunga hiyo newz sasa ili tusikuone. Ww n mpuuzi tupe link bila hvyo mmmh wewe hatukuelewi
 
hili tangazo lako
kalibandike Getto litakuwa linakufariji!!
 
am afraid hii kitu kuna mtu amecreate na sasa inasambazwa kwa sms, whatsapp na social networks. Sidhani kama ni kweli.
 
.Ndio nakubaliana na ww bcoz wengne wanasema ni kesho j4 ndo watatoa, ila daa wanawachanganya wa2 hawa! na zaidi 2nd round applicants ndo tumbo joto watoto wa watu..

nilifanya sec round mwaka jana bahati mbaya chuo nilichoona kina nafasi ni KIU na nikachaguliwa hapo hapo.. na sikua na hofu wala kusikia watu wanawasema vibaya wa sec round. na mwaka huu ikawa hvyo hvyo kwangu nimefanya sec round bt nimepata hortculture SUA i hope ntachaguliwa hapo.
 
Hawa jamaa mbona wanafanya vitu kwa kujikanyaga kanyaga wnyw, mara tar 22 mara tar 16,,!watuweke wazi bac post lini !!!!!!!
 
Selection tarehe 22 angalien kwenye website ya tcu na nacte wametoa tangazo. Hamchanganywi na mtu tatizo lenu mnakurupuka tu hamsomi taarifa na kufatilia kwenye website zao
 
Selection tarehe 22 angalien kwenye website ya tcu na nacte wametoa tangazo. Hamchanganywi na mtu tatizo lenu mnakurupuka tu hamsomi taarifa na kufatilia kwenye website zao

Wew ndo unakurupuka kuongea taarifa za uongo,hakuna taarifa yoyote ilowekwa kwenye website kuhusiana na siku ya kurelase selection madogo kuweni wavumilivu amini kwamba huu mwezi haupiti bila Mungu kuwabariki.
 
we ndo unajua selection wanatoa lini au..? Trh ya kurelease selection ni trh 22 na hiyo hiyo tarehe ndo wanakaa kikao cha wawakilishi wa wanavyuo wote tz na kabinet ya tcu na nacte asa unabisha nn ilo umeliona au hujaliona
 
Wew ndo unakurupuka kuongea taarifa za uongo,hakuna taarifa yoyote ilowekwa kwenye website kuhusiana na siku ya kurelase selection madogo kuweni wavumilivu amini kwamba huu mwezi haupiti bila Mungu kuwabariki.

wewe ndo kilaza,wakati ukiingia web ya nacte tu hilo ndo tangazo la 1.
 
Jamaa anazingua kishenzi, TCU wako smart...tangazo lao hawawez kuandika kwa heruf kubwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…