Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 3,585
- 8,106
Rais wa nchi ya Marekani Joe Biden akiwa na familia yake Mei 22, 2021 wameondoka kutoka Ikulu ya White House kuelekea Camp David Jimboni Maryland kwa mapumziko.
Mapema kabla Rais Biden alikutana na kufanya mazungumzo na Rais wa Korea Kusini Ndg Moona.
Biden alisafiri kwa kutumia chopper maalumu Marine One kuelekea Camp David ambayo ni makazi mahsusi kwa mapumziko ya Rais wa Marekani.
Tunamtakia mapumziko mema Rais Biden.