Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 3,585
- 8,106
Rise and fall of Chato.Natafakari Hotel za Chato,
Vumbi tuNatafakari Hotel za Chato,
Kingdom!!Rise and fall of Chato.
Wamiliki wanalia sasa iviNatafakari Hotel za Chato,
Kwa nini hiyo Camp David ya Bongo isiwe Chato ili tuilinde Legacy ya Jemedari wetu JPM? Naomba Mataga wote mniunge mkono tafadhali kuilinda Legacy ya Hayati! 😇 Legacy!!!! mama D... kuna umuhimu wa kuwa na kitu kama hiki kwa Tanzania pia; pajengwe eneo maalumu la mapumziko ya Rais preferably eneo aliloacha Mkapa kule Lushoto litaifishwe na kuboreshwa kwa ajili hiyo.
Ina faida gani / ipi Kimantiki Kwetu Sisi?Rais wa nchi ya Marekani Joe Biden akiwa na familia yake Mei 22, 2021 wameondoka kutoka Ikulu ya White House kuelekea Camp David Jimboni Maryland kwa mapumziko....
Uzalendo wa kitanzania au uzalendo wa kimarekaniRais wa nchi ya Marekani Joe Biden akiwa na familia yake Mei 22, 2021 wameondoka kutoka Ikulu ya White House kuelekea Camp David Jimboni Maryland kwa mapumziko
Mapema kabla Rais Biden alikutana na kufanya mazungumzo na Rais wa Korea Kusini Ndg Moona
Biden alisafiri kwa kutumia chopper maalumu Marine One kuelekea Camp David ambayo ni makazi mahsusi kwa mapumziko ya Rais wa Marekani
Tunamtakia mapumziko mema Rais Biden