Elections 2015 Taarifa kuwa Kikwete hamuungi mkono tena zamchanganya Membe

Bongo movie at work. Hapa mtakuja tu kusikia Nnape ndiye atakuwa mgombea kwa tiketi ya CCM na Wassira ndiye waziri mkuu. Mtu kama nape aje kuwa rais unafikiri nchi yetu itakwenda wapi? Mabaa maid wote hapa mjini aliokuwa anatembea nao ndio watakuwa wakuu wa wilaya na mikoa na washauri wake pia.
 
Membe akiwa Rais wa nchi hii siku hiyo nitakunya kariakoo, mtaa wa Congo, saa 6 mchana.
 
Wengine yetu macho lakini Apsoni katia aibu kweli kuwa mwenyekiti wa kamati ya kumsaidia Lowasa kuwa Rais yeye hakupaswa kuwa kambi yoyote ile angeweza kuwashauri wote kulingana na wanavyomfuata kutaka ushauri kwake.
 
warioba mwenyewe umri ushasonga jioni na taa nyekundu nayo kwa pamoja,hata akikuunga mkono naye ni majanga tu kama yalivyo majanga mengine duniani

ukimjibu mtu hivi, bonyeza pale palipoandika 'REPLY WITH QUOTE' halafu andika. umeelewa?
 
hivi waziri Membe na othman nani bosi kuliko mwenzie?
 
Mkuu Mbongo, asante kwa hii. Inaonekana kumbe Membe hamjui vizuri JK!. Endeleeni kudhania, kwa watu wanaomjua vizuri JK, wanajua anamuunga nani mkono na ndie atakayekuwa rais ajaye wa JMT.
 
System at work .....Mzee Apson apumzike bana ......siasa zitazidi kuchafua weledi wake ...
.............sure acheni mzee ajilie pension yake!!!!!! huyu Membe tushamjulia siasa zake chafu kuanzia Hans Kitine!!!! aiiii
 
Wengine yetu macho lakini Apsoni katia aibu kweli kuwa mwenyekiti wa kamati ya kumsaidia Lowasa kuwa Rais yeye hakupaswa kuwa kambi yoyote ile angeweza kuwashauri wote kulingana na wanavyomfuata kutaka ushauri kwake.
..............najua mko kazini, ndio akina Membe nyie
 
Mkuu Mbongo, asante kwa hii. Inaonekana kumbe Membe hamjui vizuri JK!. Endeleeni kudhania, kwa watu wanaomjua vizuri JK, wanajua anamuunga nani mkono na ndie atakayekuwa rais ajaye wa JMT.

Alishindwa Nyerere kuweka anayemtaka itakuwa JK ............
 
Wassira anarudi Bunda kugombea ubunge ili awe waziri mkuu Wa Pinda, hii nchi full vichekesho
Wassira ndio Rais wetu mtarajiwa acha kumshusha Thamani, Bunda amemuaachia kijana mdogo aliyewahi kusoma na mimi pale UDOM anaitwa Freka
 
Alishindwa Nyerere kuweka anayemtaka itakuwa JK ............

Nyerere aliweza kumuweka Mkapa
Binafsi kama ningekuwa mpiga kura huko CCM na wagombea wakiwa ni Membe na Lowasa tu,kura yangu ningempigia Lowasa pamoja na kashfa zake zote
 
warioba mwenyewe umri ushasonga jioni na taa nyekundu nayo kwa pamoja,hata akikuunga mkono naye ni majanga tu kama yalivyo majanga mengine duniani

Tafakari vizuri hiyo kauli yako utajua ulichoongea hakipo ndani ya uwezo wetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…