Elections 2015 Taarifa kuwa Kikwete hamuungi mkono tena zamchanganya Membe


Ni jaji Warioba anaoneka ndie anamawzo ya kuisadia nchi wakati huu tulionao
 
Lowasa ndio chaguo la Wananchi hilo halina mjadala,,,ukawa mtaishia kuwa vyama vya upinzani tu na uwaziri vivuli ndio size yenu!!


Sent from my iPad Air using JamiiForums
 
Huo muda wa kugombania urais wangefanya maendeleo makubwa sana
 
Watanzania wanamuitaj prof. Anna tibaijuka ndo awe rais 2015. Anauwezo mkubwa sana wa kuiongoza nchi na ni msafi sana mwenye kuthubutu msomi wa uchumi anayejua homa za watanzania

huyo mama nilisikia alichemsha UN-HABITAT na wizara ya ardhi imemshinda..ndiye aweze kuwa rais bora?
 


Membe hajawahi hata kuukaribia ukuu wa Cornel Apson ....,he was just a senior officer posted in our embassy ..in Canada ambako huko kilichomtoa ni kumlipua bosi wake HASSY KITINE ..kwenye lile sakata maarufu la matibabu ya kichwa ya mkewe kitine ..
Membe alifanya hivyo makusudi kumuharibia kitine ...na kujijenga kisiasa ....ikidhaniwa kuwa HASSY KITINE ni kati ya Presidential Materials wa kipindi hicho ....ambako kulikuwa na mkakati wa kuwafitini mmoja mmoja kuanzia Kitine.,Iddi Simba,Sumaye ,Salim na wengine wengi...

Kama alivyopata kusema ....Mudhihir Mudhihir ..Membe is just " joka la mdimu"
 

Mkuu UMEMALIZA Kila Kitu Akhsante!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Alimsariti vipi Mkapa acha Uongo wako ww ni jasusi gani hata hujui kuchambua data !

Vizuri Sana Bora Msemane Na Muumbuane Wenyewe Kisha Mtufaidishe Wanyonge Na Wakulima Sisi.
 
Membe akiwa Rais wa nchi hii siku hiyo nitakunya kariakoo, mtaa wa Congo, saa 6 mchana.

Peleka M.A.V.I. Yako Huko Kwenu Mbwinde Na Tuachie Kariakoo Yetu. Kuna Nini Leo Mbona Threads Za Wadau Wengi Humu Wanazielekeza ktk K.U.N.Y.A...................K.U.N.Y.A? Vyoo Vyenu Vimejaa AU Ndiyo Mnatafuta Visingizio Na M.T.U.N.Y.E.E?
 

Ila Twiga, Tembo Na Maliasili Za Nchi Yetu Vimeshindwa Kulindwa Na Hao Hao TISS Wako au Huko Hakuwahusu? Hukupashwa Kuwasifu Hivi Kwani TISS Ya Sasa Ina Mapungufu Makubwa Mno Na Inatia Kichefuchefu. TISS Strong Aliondoka Nayo Hayati Julius Kambarage Nyerere Na TISS Ya Sasa Ndiyo Imemwangusha JK na Ndiyo Inagawa na Kuharibu Nchi Kwa Sasa Kwani Wameacha Kufanya Kazi Ya Taifa Na Wanatumika Kwa Maslahi Ya Siasa. Wenzetu Mabingwa Wa Tasnia Hii ISRAEL Waliyaona Mapema Mno Na Ndiyo Maana Leo Hii Zimegawanywa ktk Sehemu Kuu Tatu
1. MOSSAD
2. SHINBET
3. AMAN
Na Hawana Wafanyakazi LUKUKI ktk Idara Zao Kama Sisi TISS Yetu Bali Wana Agents Takriban Nchi Zote Duniani Huku Wakitegemea Sana Well Trained Informers Na Ili Kulithibitisha Hili Hata Kama Upo Kijiji Kilichojificha Chokoza Maslahi Yao Na Hutochukua Muda Watakumaliza Wewe Mwenyewe. Sababu Kubwa Ya TISS Ya Nyerere Kuwa Strong Kulitokana Na Kupata Msaada Wa Uanzishwaji Wake Kutoka Kwa Hao Hao ISRAEL Na Wengi Wao Walipikwa Na Trainers Wa Kiyahudi Kuanzia Mzee Butiku, Marehemu Walingozi, Mzee Kuyomba, Pinda Mwenyewe, Principal Wa Sasa ktk Chuo Kikuu Chao G. Wandiba Na Wengineo Wengi. TISS Badilikeni Na Acheni Tamaa Ya Utajiri Kwani Kazi Hiyo Ni Ya Wito Mkubwa Sana!
 

Sifa Nyingi Na Majivuno Mengi Bila Tija. Kama Umeweza Kuwasifu Hivyo Mbona Assignments Ndogo tu Za Kuwakamta Drug Kingpins, Wanaosafirisha Wanyama Wetu Na Wauwaji Wa Albino Zinawashinda? au Sehemu Hizo Tatu Tajwa Hazipo ktk Job Descriptions Zao? Hebu Tuondolee Pumba Zako Hizi.
 

Bora Umemwambia Kwani Hana Anachokijua ktk Tasnia Hii Na Ni Mtoto Mdogo Sana. Anadharaurika Na Nimeshamdharau!
 

Full TITO and GIGO.............!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Laiti watanzania tungetumia nguvu hii kwenye maendeleo na kuacha majungu na speculations tungekua another level

Misaada kwa hisani ya wamarekani itakosa pakwenda, kwenye "generation" yoyote ile lazima wawepo wasindikizaji, sie tulishachagua hii title. Ndio maana kila siku ni porojo, hapo CCM kuuumiza kichwa kutatua matatizo ya watanzania ni mtihani mzito. Hivyo wamejiamulia 24/7 365 wawe wanatupigisha story tu watanzania, wameshatujua tumezizoea na hakuna kimngine cha kutupa.
 

Imebidi nikugongee like kwa jinsi story ilivyokaa kama Willy Gamba,aka fiction mwanzo mwisho.

Nchi yetu ina matatizo mazito sana,yani kama unategemea watu waamini huu uporoto basi unaamini kwa dhati kabisa wasomaji wa huu mtandao ni darasa la 3-4 wenye IQ za kuku.

This is disgusting, please treat us with some sense of respect.
 
Mpoki Mwambulukutu, Jembe letu la Ilboru miaka ile ya 1990s sijui yuko wapi siku hizi... Ole wao wammwage Lowassa ndo watajua kuwa Mchicha ni mboga ...
 
The most ridiculers part ndo yenye ukweli na uhalisia mwingi Mkuu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…