Press ya Mnyika imesema kuwa Mtungi na CCM wana mpango wa kuifuta Chadema.
Mtungi, CCM, Polisi et al, fahamu kuwa Chembehai (DNA) ya CHADEMA imeshaunganishwa (INCORPORATED) na chembehai za watanzania.
Hivyo hilo mnalotaka kulifanya mnajisumbua sana sana mtaleta matatizo na sintofahamu, in the long run, isiwe leo au kesho kwa nchi yetu.
Hii strategy ya kuifutia usajili ni ngumu kutekelezeka ktk hatua ya sasa kwa sababu ni chama kikubwa mno chenye wafuasi wengi kuliko CCM...
Walishindwa kuifuta CUF miaka ya u - Rais wa Ben Mkapa na Kikwete kwa sababu hii hii, kwamba, it was a dangerous strategy to implement it...
Ili kuua chama cha siasa kilichokwisha kukua na kufikia kimo hiki, ni lazima utumie njia salama na ya kisayansi zaidi ili ku - avoid chaos inayoweza kutokea ndani na nje ya nchi...
Kwa CHADEMA ni kama wamesha explore kila option na zote zimeshindwa spectacularly...
Hii ya ugaidi ndiyo ya mwisho na itakayozaa uhuru na ukombozi mpya wa taifa la Tanzania. Unabii wa hii kitu kuanzia kifo cha Rais aliye madarakani, mwanamke kuongoza nchi ya Tanzania ulitolewa miaka 15 iliyopita...
Kwa hiyo things are happening not for coincidence. This is prophetic fulfilment of forming new nation of Tanzania....
Kwa hiyo, haya ni mapito tu ya kwenda kwenye uhuru wa pili wa Tanganyika. MSIOGOPE WALA MSISIKITIKE. Haya lazima yatokee...!!
Hii strategy ya ugaidi imeshashindwa hata kabla ya wapanda mbegu hiyo kuanza kumwagilia maji ili ikue na kuwazalia matunda...
Hata kuraruana wenyewe kwa wenyewe ndani ya serikali na chama chao (reference ni Gwajima saga) ni silaha iliyo sehemu ya mchakato huu wa UHURU KAMILI tunaoundea...