Mpigamsuli
JF-Expert Member
- May 24, 2012
- 3,885
- 582
Sawa, uleimani unanisumbua. Lakini pamoja na uleimani wangu najua kwamba hamna hadhi yoyote ile ya usomi na kidigrii kimoja tu.
Hahahahahah acha wivu na learned advocates wKuna vijamaa fulan ni vi advocate,vikiwa vinaongea ni full mashauz eti mpaka vinaitana mheshimiwa. Hela zenyewe havina. Vikiona mtu ana hela eti ni fisadi. Kwa sababu havina hela vinajidai eti vi activists. To be honest naipenda sheria,lakini nachukia jinsi wanasheria wa kitanzania wanavyoweka mipaka na dharau kwa hao wanaowaita laymen. Wakat kila siku maamuz ya kesi zao yanafanyikia bar!
Lord atkin,lord jennings,learned judge,learned state attorney,learned advocate,learned state attorney,learned counsel
Wenzenu wanaigaga kidogo kidogo na kuongeza vionjo vyao. Sasa nyie mijoho ile ya nini na joto lote hilo? Au ile midubwana wanayovaa majaji kichwani.....kwanza mi nini ile? Mi wigi?
Hamna usomi wowote ule. Sana sana mnachoonyesha ni yale mambo ya monkey see monkey do:bump2::bump2::bump2: