Taarifa kwa Meneja wa TARURA wa mkoa wa Mwanza

koryo1952

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2023
Posts
948
Reaction score
1,627
Sisi wananchi wa Jiji la Mwanza tunaishukuru ofisi yako kuendelea kutujengea barabara za lami kwenye Mitaa yetu hasa Mtaa wa Mwananchi.

Barabara ya lami inayoendelea kujengwa hapa Mtaa wa Mwananchi kwanza unatekelezwa na Kampuni ya Jasco na unaendelea kwa mwendo wa kinyonga sana.

Tatizo kubwa utekelezaji wa mradi huu ni kuwa Mkandarasi hafanyi (curing yamaji) kwenye mtaro uliojengwa kwa ajili ya upitishaji wa maji ya mvua pindi mvua inaponyesha.

Tangu waanze kujenga mtaro huu wamemuagilia tu mara moja lakini kiuahindisi mtaro kama huo unatakiwa kumwagiliwa siku 14 asubuhi na jioni. Naomba ufanye ufuatiliaji na kuona uimara wa kazi yao.
 
Afu mbona kama hakuna kinachoendelea mpaka sasa? Naona pako kimya tu hakuna shughuli yoyote inayoendelea hapo darajani
 
Back
Top Bottom