Taarifa kwa Umma: Bondia Dula Mbabe na Twaha Kiduku Kuzipiga Juni 29, 2021

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2020
Posts
3,585
Reaction score
8,106
Taarifa kwa Umma: Bondia Dula Mbabe na Twaha Kiduku Kuzipiga Juni 26, 2021.

Hii ni taarifa rasmi ya mpambano huo wa kukata na shoka nchini baina ya mabondia hao ili kukata mzizi wa fitina.

Bondia Dulla Mbabe bado hajakubali.kipigo cha awali katika pambano liliopita.
 
Heading n Juni 29 ukiingia ndani ya uzi n Juni 26 tushike lipi.mkuu
 
Taarifa kwa Umma: Bondia Dula Mbabe na Twaha Kiduku Kuzipiga Juni 26, 2021.

Hii ni taarifa rasmi ya mpambano huo wa kukata na shoka nchini baina ya mabondia hao ili kukata mzizi wa fitina.

Bondia Dulla Mbabe bado hajakubali.kipigo cha awali katika pambano liliopita.
Kwa Hiyo Twaha Kiduku & Hassan Mwakinyo halipo kwa Sasa?
 
Back
Top Bottom