benzemah
JF-Expert Member
- Nov 19, 2014
- 1,533
- 3,187
Ofisi ya Waziri Mkuu - Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu imetoa taarifa kwa umma juu ya uwepo wa tatizo la kiufundi katika Mfumo wa Kushughulikia Maombi ya Vibali vya Kazi.
==
Ofisi ya Waziri Mkuu - Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu inasikitika kuutaarifu Umma kuwa kuna tatizo la kiufundi katika Mfumo wa Kushughulikia Maombi ya Vibali vya Kazi. Tunaomba radhi kwa Wateja na Wadau wote kwa usumbufu wowote uliojitokeza kutokana na tatizo hili. Aidha, Ofisi inawaomba muwe wavumilivu wakati ikiendelea na jitihada za kutatua tatizo husika.
==
TAARIFA KWA UMMA CHANGAMOTO YA KIUFUNDI KATIKA MFUMO WA KIELEKTRONIKI WA KUSHUGHULIKIA MAOMBI YA VIBALI VYA KAZI KWA WAGENİ WANAOFANYA KAZI NCHINI (OWAIS)
Ofisi ya Waziri Mkuu - Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu inasikitika kuutaarifu Umma kuwa kuna tatizo la kiufundi katika Mfumo wa Kushughulikia Maombi ya Vibali vya Kazi. Tunaomba radhi kwa Wateja na Wadau wote kwa usumbufu wowote uliojitokeza kutokana na tatizo hili. Aidha, Ofisi inawaomba muwe wavumilivu wakati ikiendelea na jitihada za kutatua tatizo husika.
IMETOLEWA NA KITENGO CHA MAWASILIANO SERIKALINI
OFİSİ YA WAZIRI MKUU- KAZI, VIJANA, AJIRA NA WENYE ULEMAVU