Taarifa kwa umma juu ya uwepo wa tatizo la kiufundi katika Mfumo wa Kushughulikia Maombi ya Vibali vya Kazi

benzemah

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2014
Posts
1,533
Reaction score
3,187
Ofisi ya Waziri Mkuu - Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu imetoa taarifa kwa umma juu ya uwepo wa tatizo la kiufundi katika Mfumo wa Kushughulikia Maombi ya Vibali vya Kazi.

==
TAARIFA KWA UMMA CHANGAMOTO YA KIUFUNDI KATIKA MFUMO WA KIELEKTRONIKI WA KUSHUGHULIKIA MAOMBI YA VIBALI VYA KAZI KWA WAGENİ WANAOFANYA KAZI NCHINI (OWAIS)​

Ofisi ya Waziri Mkuu - Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu inasikitika kuutaarifu Umma kuwa kuna tatizo la kiufundi katika Mfumo wa Kushughulikia Maombi ya Vibali vya Kazi. Tunaomba radhi kwa Wateja na Wadau wote kwa usumbufu wowote uliojitokeza kutokana na tatizo hili. Aidha, Ofisi inawaomba muwe wavumilivu wakati ikiendelea na jitihada za kutatua tatizo husika.

IMETOLEWA NA KITENGO CHA MAWASILIANO SERIKALINI
OFİSİ YA WAZIRI MKUU- KAZI, VIJANA, AJIRA NA WENYE ULEMAVU​


 
Watu makini serikali sikivu mnooo. Asante
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…