Taarifa kwa umma kuhusu matokeo ya Simba na Azam FC

Ambiele Kiviele

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2014
Posts
15,267
Reaction score
29,917
SIMBA SPORTS CLUB
DAR ES SALAAM
6/1/2018

TAARIFA KWA UMMA

Klabu ya Simba inapenda kukanusha matokeo ya mchezo kati yake na Azam FC kama ambavyo yameonyeshwa kwwnye kituo cha Luninga cha Azam Sports 2.

Katika mechi hiyo kituo hicho cha TV kimeonyesha Simba imefungwa bao 1-0

Kiukweli uonyeshaji wa mechi hiyo umejikita kwenye kuharibu taswira ya klabu,na una nia ovu kwa timu yetu ambayo inaendelea kufabya vzr kwenye mashindano ya kombe la Mapinduzi.

Mara kwa mara TV hii imekuwa ikirusha na kutangaza matokeo ya namna hiyo kwa klabu,hali inayopelekea uongozi wa Simba kulaumiwa na Wanachama na mashabiki

Kwa matokeo yaliyoonyeshwa leo ambayo imezua taharuki kubwa hususan mitandaoni,klabu imeonelea iliweke sawa kwa kuwaambia Wanachama na washabiki wake kuwa, haijafungwa na Azam na kilichooneshwa na Azam Sports 2 ni uzushi usiovumilika.


IMETOLEWA NA....

HAJI S MANARA
MKUU WA HABARI
SIMBA SPORTS CLUB

SIMBA NGUVU MOJA
 
Wewe mzee kweli nimeamini wewe ni mkuu.!!
 
Yanga Bwana mlipofungwa na Mbao mlilala hamkusema kufungwa Kwa Simba midomo juu
 
Kwa kweli hiki kituo cha luninga cha Azam tv kimefanya uchochezi mkubwa sana kati yetu sisi mashabiki na uongozi wa klabu.

Nawaomba TCRA wachukue hatua zinazostahili zikiwemo kutoa faini kubwa sana ili kuongoza mapato ya serikali.
 
Mi nachofurahi yule msemaji wa Yanga wa siku hizi haya mambo ya simba kufungwa hana mpango nayo kabisa,.. He is accurate acknowledge the proffession '"......sio huyu jamaa ambae hajaenda shule ila kapew usemaji kisa baba ake, mara mjomba ake walicheza simba... Na Uswahilini wake basi kila siku ni mipasho kama mwanamke na sio kila mwanamke kuna wengine hawamfikii huyu jamaa kwa umbea.......... Yani anaharibu sana reputation na credibility ya simba.......... Sasa ngoja vijana tukaombe hiyo kazi alaf apigwe pending tumuobeshe kazi ya public relations and practitioners inayofanywa....... Anasababisha watu wajadili kufungwa kwa timu kama jambo kumbwa ilhali ni kitu cha kawaida lkn kwa sababu ya weledi (efficiency) ndogo aliyonayo na kupewa majukumu makubwa na asijue nini cha kufanya........... [emoji35] [emoji35]
 
Pengo la Manula linaonekana..lile goli la Jana ni uzembe wa beki...lakini kipa nae sio mzuri kihivyo haongei na mabeki wake..Mbaya zaidi Azam nao wakaanza kulala...ni mbinu ya mchezo lkn..hongera Kwa Azam ndio mpira ulivyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…