Taarifa kwa Umma kutoka TAKUKURU

Hivi hizo ni rushwa au hela za mboga? Nyie jamani acheni utani.
Hizo hela ni za kupeana ahsante tu si rushwa jamani...
TAKUKURU ina maana wala rushwa mmeshindwa kuwakamata?
 
Kisheria ipo vipi, uchunguzi mwingine mnaupeleka kwa DPP? Lakini mwingine mnawafungulia mshtaka kabisa.
 
Mimi nikujua na Kangi yumo mnatuletea mtendaji wa kijiji na mwalimu mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…