Lord Diplock MR JF-Expert Member Joined Mar 16, 2015 Posts 1,393 Reaction score 3,237 Dec 14, 2017 #1 Taarifa iliyotolewa na msajili wa mahakama kwa umma inaonesha kwamba mahakama kuu katika likizo yake hiyo itasikiliza kesi za dharula pekee.
Taarifa iliyotolewa na msajili wa mahakama kwa umma inaonesha kwamba mahakama kuu katika likizo yake hiyo itasikiliza kesi za dharula pekee.
Salahan JF-Expert Member Joined Sep 10, 2014 Posts 2,963 Reaction score 3,685 Dec 14, 2017 #2 Watanzania ndio umma unaotumia iyo lugha.....mm sijalielewa ilo tangazo lao iyo lugha siijui
Threesixteen Himself JF-Expert Member Joined Feb 12, 2013 Posts 8,233 Reaction score 8,022 Dec 14, 2017 #3 ! ! Kama nawaona akina fulani wanavyofurahia kuwakamata Kamata watu