safi ndugu zetu wa TRA , lakini muda wa kubadilisha umiliki wa magari mmeweka muda mfupi sana , jumatatu haitaweza kuwa tumekamilisha , wauzaji wengine wamesafiri kwa sababu mbalimbali. Tufikishie ujumbe, muda usogezwe kidogo kuwawezesha wengi kukamilisha