Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
USAJILI WA WASICHANA NA WAVULANA WALIOKATIZA MASOMO YA ELIMU YA SEKONDARI
Taasisi ya Elimu ya Watu Wazima kupitia mradi wa SEQUIP-AEP unaotekelezwa na Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia kwa kushirikiana na Benki ya Dunia imeanza usajili wa wasichana na wavulana waliokatiza masomo ya Elimu ya Sekondari wenye umri kuanzia miaka 13 hadi 21.
Wanafunzi hao wataendelea na masomo yao bure katika vituo vya Taasisi ya Elimu ya Watu Wazima vilivyopo mikoa yote 26 Tanzania Bara. Masomo yataanza tarehe 06/01/2025.
Kwa taarifa zaidi wasiliana na Mratibu (0766 968 470), pia tembelea kituo cha TEWW katika mkoa husika au www.iae.ac.tz
taasisi_ya_elimu_ya_watu_wazima
www.iae.ac.tz
Taasisi ya Elimu ya Watu Wazima; Kiwanja nambari 7, Mtaa wa Bibi Titi Mohamed; P.O.Box 20679, Dar es Salaam/Tanzania; Simu ya rununu: +255 750 292 847; Barua pepe: info@tiae.ac.tz