kwa wale wote waliokuwa na akaunti zao Facebook napenda kuwapa taarifa kwa kuanzia tarehe 10/10/2018 kutafanyika tasmini ya malipo kwa wale wote ambao akaunti zao zilidukuliwa na kama kuna ambao watabainika uongozi wa Facebook watatoa kiasi cha dola 7800 sawa na shlng mil 17 za kitanzania kwa ajili ya fidia
nachojiuliza nilikuwa na akaunti nne nikilipwa zote daaah utajiri huooemoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]