Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama ID yako ni ya semister moja,hutaruhusiwa kusign boom mpaka ulipe portion ya ada yako unayodaiwa na utengenezewe ID ya semister ya pili.mtaarifu na mwenzio uonapo ujumbe huu..source ni me mwenyewe niko eneo la tukio.
kwa masharti hayo mwisho wa kusign utakuwa lini? duh poleni wana state university
hapo inakuwaje kwa wale ambao tunategemea bumu ndo tulipe ada?
hapo inakuwaje kwa wale ambao tunategemea bumu ndo tulipe ada?
ndio tuko tunanegotiate na uongozi mkuu,maana hata uongozi unajua kuwa asilimia kubwa ya wana udsm tunategemea bumu kulipia ada na malazi,so mambo yakiwa mazuri,nitarejea hapa jukwaani kuwabrief tena.
kusign bumu hakuna mwisho ila tu jinsi unavochelewa kusign ndo jinsi mzigo wako utakavochelewa kiongozi.
hapo inakuwaje kwa wale ambao tunategemea bumu ndo tulipe ada?
Unakopa kwa mwenzako alafu unalipa ada ukipata ID unamrudishia boom lake