TAARIFA KWA WaNAFUNZI WOTE WA SOKOINE UNIVERSITY OF AGRICULTURE

Lugano5

R I P
Joined
Jul 15, 2010
Posts
4,520
Reaction score
757
Serikal ya wanachuo [SUAsO] kupitia wizara ya mikopo inawataarifu kuwa kutokana na mfumo mpya wa udahili wa wanafunzi unaomtaka mwanafunzi adahiliwe kwanza ndipo asgn mkopo na kuwa mwanafunz kamili,kutokana na kikao na utawala inawaomba wanafunz wasign mkopo il waweze kufanya udahl,HIVYO Tunawataarfu zoez la kusign mkopo litafanyika j3 na j4 tar 21-22 tu il watu waweze kupata ela ya udahili.ambaye hatafanya udahl ndan ya siku 14 atakuwa amejifukuzisha chuo na hataweza kupata mkopo tena,IMETOLEWA LEO TAR. 19 october na (waziri wa mikopo GETRUDE SUASO)"updated-boy"/"0768260834"
 
kwa ufafanuz,kama umekoxa ela ya kuja kufanya usajil tafuta naul uje,njoo na 5000 ya kufungua account..usain mkopo then upewe 695,000/= ndo ufanye usajili
 
Back
Top Bottom