Taarifa kwa wanaume wapita rough road

PEPSI BIG

Member
Joined
Sep 23, 2019
Posts
37
Reaction score
23
Imekua nikawaida kwa wanaume humu kujisifu atumia mtaro tena nakujisifu kabisa sidhani kama niungwana

Taarifa nyeti kama hizi unazianika hadharani yanini janaume zima na suruali yako ndefu kama buti za Charlie champrin

Ndio maana hua wanawake wanaamua kuwachunia kwa post zenu zisizokua na msingi nakuvitaja vitu visivyo na maadili nashukuru kutojuana kimwili wala Uso kwa Uso na manyau ya humu

Mungu awabariki wanaume wasiri namuendelee hivyo hivyo ila sio minyau nyau mingine isiyokua na haya wala hiana

Povu baki nalo mwenyewe mi yangu tayari hayo nimeyatoa



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umetafunwa ukatangazwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…