Congo JF-Expert Member Joined Mar 13, 2008 Posts 2,081 Reaction score 2,325 Jan 31, 2012 #21 Edward Teller said: 800??? nazani nitabakia kusoma habari online na kuangalia Tv tu, magazeti nitayaacha Click to expand... Kuna tofauti kubwa kati ya kusoma magazeti online na hard copy. online hutasoma matangazo ambayo ni muhimu sana
Edward Teller said: 800??? nazani nitabakia kusoma habari online na kuangalia Tv tu, magazeti nitayaacha Click to expand... Kuna tofauti kubwa kati ya kusoma magazeti online na hard copy. online hutasoma matangazo ambayo ni muhimu sana
manenge JF-Expert Member Joined Apr 30, 2008 Posts 279 Reaction score 18 Feb 2, 2012 #22 Bye bye mwananchi......................nitatafuta mbinu nyingine za kupata habari