Taarifa kwa watakao chaguliwa na TCU

Eshacky

JF-Expert Member
Joined
Apr 26, 2011
Posts
965
Reaction score
252
Majina yatatoka mwanzon mwa september pamoja na asilimia za mkopo utakazo tunukiwa. Source EA RADIO.

hivi kwa nini kwenye website yao hawasemi kitu?

yaani tz viongoz wake ni wahivi hivi. Web yao ipo vile vile wakat wameitisha press conference. Wanadhan wote wanasikiliza radio! Umasabur tupu!

Tatizo TCU Siasa na sio taaluma imewaeka pale haiwezekani wakurupuke na kuanza kusema mwanzoni mwa mwezi wa saba, then mwanzoni mwa mwezi wa nane ila sasa mwezi wa tisa ila wamechagua wanafunzi wachache sana.

kwani kuna ambao wametangazwa kuwa wamechaguliwa au?

Tatizo TCU Siasa na sio taaluma imewaeka pale haiwezekani wakurupuke na kuanza kusema mwanzoni mwa mwezi wa saba, then mwanzoni mwa mwezi wa nane ila sasa mwezi wa tisa ila wamechagua wanafunzi wachache sana.

Kipimo cha uchache ni nini? Waliomba wangapi, na wenye vigezo stahili lakini wamechwa ni wangapi?

hivi kwa nini kwenye website yao hawasemi kitu?

wanasubiri how the applicants will react once matokeo yalipotangazwa through media. si unajua walishachakachua mkuu?

Jamani hawa majamaa hat hawaelewek,maana kun rafiki yangu mmoja anakila sifa Za kupatiwa udahili bt under unknown reasons wamempiga na chini na kutakiwa aombe tena ktk second round.DAH!HAWA JAMAA WAS....NGE SN.

ongezea wiki yako moja ndo muda ambao yatatoka..

Jamani hawa majamaa hat hawaelewek,maana kun rafiki yangu mmoja anakila sifa Za kupatiwa udahili bt under unknown reasons wamempiga na chini na kutakiwa aombe tena ktk second round.DAH!HAWA JAMAA WAS....NGE SN.

kaka wamesema vyuo bado vina nafasi, kwa ambao hwajapata yawezakua hwajachagua program vizur kulingana na sifa, hivyo anapaswa aombe tena kwa kulingana na sifa ya koz husika inahitaji nn.

Hii tanzania ni legelege,ingekuwa tupo serious hawa jamaa wote ingetakiwa wawajibishwe ila hapa tz tunaona ni kawaida tu

Mfumo mzima wa uongozi tcu ni mbovu na kuna ufisadi ndani yake matokeo yake watu wasio na hatia kubaki dilema,soln ni kuvunjwa uongozi mzima.

yaani tz viongoz wake ni wahivi hivi. Web yao ipo vile vile wakat wameitisha press conference. Wanadhan wote wanasikiliza radio! Umasabur tupu!

je wewe unadhani wananchi wote hapa tz wanaLUNINGA za kutizama na kuckiliza habari? Hivyo hiyo ni m1wapo ya kazi za vyombo vya Habari, utasoma magazetini pia na kwingineko!

ebu taja huko kwingineko?

yaani tz viongoz wake ni wahivi hivi. Web yao ipo vile vile wakat wameitisha press conference. Wanadhan wote wanasikiliza radio! Umasabur tupu!

poleni sana vijana, tatizo mabos wengi serikalini mambo ya mawebsite ni mageni kwao!!! Mi nahis huwa wanasahau kabisa kuwa taasisi zao zinawebsite kwan wanaamini zaidi kusikika na kuonekana kwenye vyombo vya habari!

hivi kwa nini kwenye website yao hawasemi kitu?

watasema nini na hawana la kusema!!! Sijui wanategemea nini hasa..
Na huu ndo mwanzo,bado hao Loan bord,watatoa majina afu pesa,mwakani.

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…