Taarifa kwenu wapiga ramli wa WCB, Rich Mavoko anarejea kwa kishindo

Robidinyo

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2016
Posts
4,043
Reaction score
8,686
Baada ya Kimya cha Muda mrefu, hatimaye Mkali wa Muziki wa Bongo Fleva richmavoko amerudi na taarifa Kubwa na nzuri kwa mashabiki Zake, baada ya kutangaza kuachia #MiniTape yake Tar 7 mwezi huu

Kupitia Ukurasa wake wa Instagram Bilionea Kid richmavoko ameshare taarifa Hiyo Njema kwa mashabiki na Wapenzi wa muziki ambao walikua wamemiss Radha yake kwa muda mrefu, Kuwa muda si mrefu wategemee balaa kubwa kutoka kwake.

Katika Ujumbe huo , Mavoko ameandika “Marafiki zangu mmekua mkinipa ushirikiano na mpaka sasa Najua mnaendelea kufanya ivyo, Mziki ni kitu ninachokipenda na ninaishi nao “

Msie Mpenda kaja

 
Spartacus fala kinoma, hapo nyuma sikuwahi fikiria we ni shabiki ndakindaki wa WCB katika upande wa haters (kumbuka ili ufanikiwe zaidi unahitaji maadui wa kutosha)

Sasa tamko la Mavoko, Robidinyo taarifa kaitolea kwenye page ya wasafi, hapo ndo unabaki kushangaa, kwanini asingetolea sehemu nyingine km kwa kina Sammisago na Millard mpaka iwe wasafi?

Hapo ndo unapoamua kuwauliza WAJUMBE nao wanakwambia TUPO PAMOJA
 
Acha aje atuthibitishie kuwa hayuko nyuma,na ajapotea
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Labda kurudi Tanga akalime[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mavoko mkali mno.
Mimi shabiki kindakindaki.
Kuna Mavoko, Ali kiba na Marehemu Ngwair.
Hawa watu ninaweza sikiliza nyimbo zao siku nzima bila kuchoka.
 
Mleta uzi kwanza marinda unayo tuanzie hapo
 
Anarejea alikuwa wapi?.

Sasa unawaringishia waliokuwa nae awali na bado wamekuwepo?...dunia haiishi vituko hii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…