NAMBA MOJA AJAYE NCHINI
JF-Expert Member
- Oct 29, 2019
- 9,863
- 20,806
Baada ya kukiuka yaani kutoandika katiba hapo 2022,huoni watu wakubwa wakidondoka consecutively!!?na wengine tetesi za kuugua!!?Mmeishia wapi na hizi mbanga zenu mpaka Sasa?
Maslahi yenu kisiasa sio maslahi ya taifa kamwe wapuuzi wahed nyie
Mbona kasha jiandaa vema na form ni moja.Hii vita bado mbichi sana ngoja 2025 tuone.Baada ya kukiuka yaani kutoandika katiba hapo 2022,huoni watu wakubwa wakidondoka consecutively!!?na wengine tetesi za kuugua!!?
Na aliepewa maelekezo huoni atashindwa kugombea coz hatogombea japo anajitahidi kuji promote lakini hatogombea!!?
Nadhani Ile shughuli iliisha Anza na matokeo ndio hayo!we huoni!!?
Mbona zaidi ya asilimia 80 imetekelezwa au wewe mwenzetu ni akili kisoda mwili jumba?Hakuna hata Moja lililo tekelezwa...🤣🤣🤣
Kila ulicho andika kimevurugwa haswa
Katiba imeshaandikwa?Mbona zaidi ya asilimia 80 imetekelezwa au wewe mwenzetu ni akili kisoda mwili jumba?
Tatizo sio fomu,Tatizo ni misuko suko atakayoipata kabla ya kupewa fomu!!Mbona kasha jiandaa vema na form ni moja.Hii vita bado mbichi sana ngoja 2025 tuone.
Katika hoja 18 wewe umeona hiyo moja tu?Katiba imeshaandikwa?
Siamini kama ni hivi. HILI NALO MKALITAZAME!!Tatizo sio fomu,Tatizo ni misuko suko atakayoipata kabla ya kupewa fomu!!
Kuna kelele nyingi sana zinaendelea humu kwenye kampuni,we huoni Kuna tetesi za kutaka kuzima internet!!?
Kabla ya October 2025 sarakasi bado nyingi!!hao wanaomdanganya fomu ni Moja ndio wanaomharibia kabisa!!
Ni Bora angesema mchakato wa fomu ziwe nyingi halafu afanye lobbying Kwa watakaochukua fomu kipindi hicho!!
Yaani fomu ikiwa moja mwaka mmoja kabla maana yake wanamchosha kwa kupambana na adui asie onekana!!!
Hao jamaa wanaomdanganya hao ndio initiator wa mvurugano ndani ya kijani!!
Nani kaugua!na wengine tetesi za kuugua!!?
I hope he is not demented.na wengine tetesi za kuugua!!?
Je mangapi kati ya haya uliyoyaandika hapa yamefanyiwa kazi?Imeamuliwa 'next stage' isitishwe. Baadhi ya maombi ya unyenyekevu ya 'theState':
1. Sheria zifuatwe na zile zisizofaa zibadilishwe.
2. Mwakani kuwe na mwendelezo wa kuandika katiba ambapo bunge liundwe na lisilazimike kuingiza wabunge waliopo sasa isipokuwa wale wenye tija.
3. Wabunge wasiokuwa halali waondolewe kutoka bungeni.
4. Ikiwezekana yale majimbo na kata ambayo ilionekana kabisa kulikuwa na upotoshaji wa matokeo basi uchaguzi urudiwe. Uchaguzi wa serikali za mitaa usubirie mpaka katiba mpya.
5. Stahiki za wafanyakazi wa umma na wastaafu zilipwe. Fao la kujitoa lirejeshwe kwa wale waliopoteza ajira.
6. Fungua milango ya nchi ili biashara na mitaji ikaribie na ku-unlock uchumi. Wawekezaji wakaribishwe kwa sera na sheria wezeshi.
7. Wananchi kule kimara walipwe fidia na kwingineko ambapo watu waliumizwa.
8. Ofisi ya DPP na mwanasheria mkuu ifumuliwe na watu watendewe haki.
9. Watendaji wote 'walio-dance the tune' na kuvunja sheria huku wakiumiza watu waondolewe.
10. Miradi ya SGR na Stiegler's iendelezwe pamoja na ile ya barabara lakini upembuzi ufanyike ili ikiwepo isiyo na tija iachwe.
11. Kuna tatizo kubwa sana deni la taifa.. angalau punguza sasa kukopa na weka mazingira ili uvutie wawekezaji na hasa wale wa ndani ambao wameficha matrilioni ardhini na nje ya nchi.
12. Uchunguzi huru ufanyike kwa yale matukio yote ya utekaji, mauaji na mashambulizi dhidi ya binadamu.
13. Ondoa elimu bure kwasababu inajenga taifa lenye 'irresponsible' minds. Angalia namna ya kubadilisha mfumo wa elimu ili uendane na nyakati tulizonazo.
14. Fanya maridhiano na wapinzani na taasisi zilizotengwa ili kuleta umoja wa kitaifa.
15. Serikali iendelee kubaki Dodoma na ikiwezekana ikulu ya Dar es salaam pajengwe kituo maalum cha utalii.
16. Chama bado kina misingi mizuri, imarisha kwa kuteua watu wenye maono na uzalendo kwa nchi.
17. Sisi hatutakuja kukuingilia, teua na unda timu kwa kadri unavyoona inafaa.. watendee watu haki nasi tutaendelea kukuunga mkono.
18. Mpaka sasa umetuonesha mwanga mwema nasi kwakuwa tunaipenda nchi tumesitisha 'mipango' yetu ili utimize majukumu yako na kusimamia haki.
Tulishauri, hakusikiliza na sasa hayupo. Nimepewa ujumbe, nimeufikisha.
Vipi kuna lililotekelezwa hapa?Imeamuliwa 'next stage' isitishwe. Baadhi ya maombi ya unyenyekevu ya 'theState':

Eti mmeishia wapi wakuu?Nimejifunza haya:-
1.kanisa la mtakatifu petro sio kanisa kama kanisa Bali ni sehem ya ofisi ya kijasusi ya kidola hapa nchini!!na ina compromise na Dola kamili ambayo ndio hiyo The state!!
2.Kesi ya mbowe ni ya kubumba ili kumzuia kuharakisha mchakato wa katiba mpya ambao Dola imepanga ufanyike mwakani!!!Mbowe ataachiwa huru hapo baadae mwakani au mwisho wa Mwaka!!!
3.Mchakato wa katiba mpya utaanza 2022 na watakao pinga wataondolewa kimya kimya!!!
4.Katiba mpya itakamilika na kuwa rasmi kuanzia 2023 kuendelea na uchaguzi wa 2025 utafanywa kwa katiba mpya!!!
5.Inawezekana 2025 chama cha upinzani kikatwaa nchi kwa mfumo wa katiba mpya na tume huru ya uchaguzi!!!
Nimeisoma coment mara mbili mbili,tuseme hiyo too late ndio imeleta Uzi wa "usaliti wa jemadari wa marekani"uliofutwa hapa jf!!?Nimekusoma mkuu
Changamoto ya kwanza ni katiba. Rais anapata madaraka yake kwenye katiba ambapo 'theState', pamoja na kuwa na capacity, wako well trained kujua mipaka yao, kwamba lazima katiba na sheria ziheshimiwe.
Ikiwa sisi tutaona ni sawa kuvunja katiba na kuyapoka madaraka ya rais, basi nasi hatutakuwa tofauti na hao tutakaokuwa tunataka kuwapoka madaraka. Lazima kila mtu afanye kazi kwenye misingi ya utawala wa sheria.
Ajenda kuu na ya mwanzo kwa sasa, hasa kuanzia kipindi kile cha awamu ya nne na yaliyotokea awamu ya tano, ni uundwaji wa katiba mpya. Sasa imekuwa lazima na pressure imekuwa kubwa sana hata pale 'stpeters'.
Kwa miaka mingi 'stpeters' pale kumekuwa na nguvu kubwa kwenye kulinda wakubwa. Lakini sasa kwa madhaifu ya nyuma na matatizo ya hapa karibuni, wapo wanaoona umuhimu wa kuwa na taasisi zitakazofuata msingi ya sheria na haki.
Kumbuka 'stpeters' na 'theState' sio taasisi moja. Hawa 'theState' wao wametoa muda mpaka mwakani kwa mchakato wa katiba kuanza. Nachelea kusema kama 'aliyepewa muda' hataanza hili inaweza kuwa 'too late' kwake.
Sasa kule 'stpeters' bado kuna wale conservatives ambao wanataka mambo yaende hivihivi na wanaamini wanazo means za kuhakikisha inabaki hivi. Wapo ambao wanashughulikiwa kimyakimya na muda mchache hawatakuwepo tena. Watakaobaki wakiendelea wanaweza kufanya too late ya 'aliyepewa muda' isiwe beyond mwakani.
Traditionally, kwenye miradi huko na utendaji kuliachiwa wanasiasa. Maslahi ya kiuchumi yaliachwa sana kwa watendaji serikalini. Mabadiliko ya kuweza kuwa na 'economic intelligence' kwenye taasisi ya pale 'stpeters' yatakuja mfumo wote utakapobadilishwa.
Yaani hii itakuwa transformation kubwa sana kuona focus isiwe tu kwenye ulinzi na usalama bali iende pia kwenye uchumi na biashara. Hapa bado kuna jukumu kubwa sana ila najua wapo watu kadhaa pale 'stpeters' wamekuwa wakipikwa kwa takribani miaka 12 sasa. Mmoja wao akipewa kuongoza ile idara basi anaweza kuleta tija.
Mpaka wakati huu hakujakuwa na vitendo vya kulipiza kisasi. Watu wamebadilishwa na wengi wamepewa nafasi nyingine, tena zenye heshima kabisa, ili wapate nafasi ya kujitafakari na kujipanga. Ila utashi wa kisiasa utaamua nani abaki na nani aendelee.
Alishaandika mbona "original plan in and out" operation code PJLK , we huoni kwani!!?kwasasa White House imekimbiwa kama kipindi kile!!?Eti mmeishia wapi wakuu?
Kwamba nini?mission is still going on