Taarifa: Makamu wa rais, Dkt Mpango akimpa Pole Mkurugenzi Mkuu wa Usalama Aliyefiwa na Kaka Yake

Taarifa: Makamu wa rais, Dkt Mpango akimpa Pole Mkurugenzi Mkuu wa Usalama Aliyefiwa na Kaka Yake

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2020
Posts
3,585
Reaction score
8,106
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt Philip Isdory Mpango amekutana na Mkurugenzi Mkuu wa Usalama wa Taifa Diwani Athumani Msuya na kumpa pole kufuatia kifo cha Kakaye aitwaye Bisward Msuya kilichotokea Agosti 03, 2021

FB_IMG_16280961802943086.jpg
 
Kawafanyaje hadi wamtende hivyo
Itakuwa wanafundishana adabu kimya kimya.

Unakumbuka kauli ya kagama? NITAMPIGA KIKWETE MAHALI PANAPO UMA

halumaanisha kuwa angmpiga kikwete laivu ila angegusa madlahi yake ambayo yangemwacha na pengo kubwa

Sasa naamini hapo ni ama visasi au aliyefariki mwenyewe alikuwa na ugomvi na watu
 
Ila watu wanajua kutumia vifaa jadi. Miaka hii mtu anaua kwa mshare au iliwelwa sumu?
 
Maajabu haya
Mishale mpaka mtu anakufa😳😳😳
Inaelekea wataalam hao wametumia hiyo ngumu kupata ushahidi
 
Duh. Mishale ya sumu ni noma. Hapo aliyeua mmoja ila watakamata kijiji kizima.
 
Back
Top Bottom