Taarifa: Makamu wa rais, Dkt Mpango akimpa Pole Mkurugenzi Mkuu wa Usalama Aliyefiwa na Kaka Yake

Kawafanyaje hadi wamtende hivyo
Itakuwa wanafundishana adabu kimya kimya.

Unakumbuka kauli ya kagama? NITAMPIGA KIKWETE MAHALI PANAPO UMA

halumaanisha kuwa angmpiga kikwete laivu ila angegusa madlahi yake ambayo yangemwacha na pengo kubwa

Sasa naamini hapo ni ama visasi au aliyefariki mwenyewe alikuwa na ugomvi na watu
 
Ila watu wanajua kutumia vifaa jadi. Miaka hii mtu anaua kwa mshare au iliwelwa sumu?
 
Maajabu haya
Mishale mpaka mtu anakufa๐Ÿ˜ณ๐Ÿ˜ณ๐Ÿ˜ณ
Inaelekea wataalam hao wametumia hiyo ngumu kupata ushahidi
 
Duh. Mishale ya sumu ni noma. Hapo aliyeua mmoja ila watakamata kijiji kizima.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ