Hata Tegeta ilikuwa vizuri mkuu, naifahamu kwa ukaribu tangu kuanzishwa kwake. Tatizo hii shule ya wazazi walimwachia Mkuu wa shule pekee, aitwaye Makoyola ikawa kama ya kwake binafsi kwani alijipa tenda ya;nawaonea gere waliosoma shule kongwe za serikali! kama azania cdhan kama wanategemea kuuza
Dah umenikumbusha mbali sana, Makoyola... Siku hizi yuko wapi huyu mzee?Hii shule aliiweza Makoyola tu, alipoondoka mambo yameenda kombo
Makoyola alikimbia nchi kwa mambo ya kuruhusu maeneo ya wazi kuuzwa akiwa diwaniDah umenikumbusha mbali sana, Makoyola... Siku hizi yuko wapi huyu mzee?
Konda where you're?Shule imechoka vibaya sana.