Elections 2010 Taarifa muhimu kwa wapiga kura

Elections 2010 Taarifa muhimu kwa wapiga kura

ambili

JF-Expert Member
Joined
Oct 8, 2010
Posts
243
Reaction score
15
Habari zenu wana JF, nimeona ni vema nikiwamegea hii info muhimu.
Ukitaka kupata info zako za uandikishwaji wako bofya hapa
Kila la kheri fanya maamuzi sahihi october 31, usifuate mkumbo.
"kura yako ni ukombozi wa taifa lako"
 
Habari zenu wana JF, naona nivema nikiwafahamisha wale wasio fahamu kuwa unaweza kuangalia kama umeandikishwa kupitia E-mail yako kwa kubofya hapa
 
Habari zenu wana JF, naona nivema nikiwafahamisha wale wasio fahamu kuwa unaweza kuangalia kama umeandikishwa kupitia E-mail yako kwa kubofya hapa
 
bofya hilo neno hapa lenye rangi ya bluu
 
Bofya maanake ni bonyesha/gadamiza hicho kipanya chako kwenye neno lillilo na rangi tofauti na mengine
 
Wadau,
Nimetoka kuingia katika website ya NEC ambapo nimeweka nambari yangu ya mpiga kura na kuweza kupata online status ya wapi kituo changu kinapatikana. Taarifa niliyoipata kwenye web pamoja na email niliyotumiwa ni sahihi kwa asilimia 100. Napendekeza sote tutizame status zetu ili kuepukana na disappointments za dakika za mwisho. Hii itazidi kutupa uhakika wa kupiga kura zetu sahihi siku hiyo ya tarehe 31 Oct 2010.

Link ya kufuata ni hii…

http://www.nec.go.tz/?modules=gallery&sub (nenda kwenye link hii)

Thereafter click link hii ili uweze kuchek jina lako na kituo cha kupigia kura. Hakikisha una ijua Voter ID yako

Click appropriate link to view your statu



Registration Status
cardap.jpg
<A href="http://www.nec.go.tz/?modules=gallery&sub#">

Click appropriate link to view your status
icon_email5.gif
Email

Tunaomba Wagombea kwenye kampeni zao wawafahamishe wananchi wanaoweza kuaccess mtandao ili waconfirm majina yao. Tafadhali mfikishieni Dr. Slaa taarifa hii ili awajfahamishe wapenda mageuzi
 
sikubaliani na ushauri huu kwani kuna haraka gani? .UFISADI WANAZISUBIRI HIZO ID ZA VOTERS.TAKE CARE
 
Hongera ,lakini ni wananchi wangapi watakua na ufahamu kama wako?Bila Elimu inayojitoshereza kupiga kura ni shida tu.Maandalizi ya kupiga kura ni jukumu la serikali. Mpiga kura atajiandaa utashangaa siku ya kura vituo vinafunguliwa saa za majeruhi. Hata wakifungua vituo mapema usishangae kuona jina lako halipo.Hawatatumia mtandao watatumia karatasi yao pale kituoni inawezekana usione jina lako pamoja kujiona kwenye mtandao!!
 
Back
Top Bottom