Hongera ,lakini ni wananchi wangapi watakua na ufahamu kama wako?Bila Elimu inayojitoshereza kupiga kura ni shida tu.Maandalizi ya kupiga kura ni jukumu la serikali. Mpiga kura atajiandaa utashangaa siku ya kura vituo vinafunguliwa saa za majeruhi. Hata wakifungua vituo mapema usishangae kuona jina lako halipo.Hawatatumia mtandao watatumia karatasi yao pale kituoni inawezekana usione jina lako pamoja kujiona kwenye mtandao!!