white wizard
JF-Expert Member
- May 18, 2011
- 8,566
- 13,770
Mbona Bank zetu hawajatutangazia? Au wewe una bank ya Mpesa.
mbona karibu ma bank yote ndani wameweka matangazo!na hata kwenye magazeti!Mbona Bank zetu hawajatutangazia? Au wewe una bank ya Mpesa.
c lazima uende kwenye domicile branch,nenda tawi lolote la bank yako lililokaribu nawe.Inakuwaje kama nilifugua akaunti yangu Mbeya na sasahivi naishi Mtwara, na sina uwezo wa kwenda Mb kwa haraka hivyo?
mbona karibu ma bank yote ndani wameweka matangazo!na hata kwenye magazeti!Mbona Bank zetu hawajatutangazia? Au wewe una bank ya Mpesa.
Mbona Bank zetu hawajatutangazia? Au wewe una bank ya Mpesa.
c lazima uende kwenye domicile branch,nenda tawi lolote la bank yako lililokaribu nawe.
kwa nmb unaenda tawi lolote lililo jiran nawe hauna haja ya kurudi domicile brInakuwaje kama nilifugua akaunti yangu Mbeya na sasahivi naishi Mtwara, na sina uwezo wa kwenda Mb kwa haraka
hivyo?