Taarifa: MwanaMfalme William na Mkewe Kate Leo Aprili 29, 2021 Wanasherehekea Kutimiza Miaka 10 ya Ndoa yao

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2020
Posts
3,585
Reaction score
8,106
Taarifa: MwanaMfalme William na Mkewe Kate Leo Aprili 29, 2021 Wanasherehekea Kutimiza Miaka 10 Ya Ndoa Yao

MwanaMfalme William ambaye ni Mfalme mtarajiwa wa Uingereza na Mkewe Kate wamebarikiwa watoto 3 katika kipindi cha miaka 10 ya ndoa yao

Happy Anniversary
 
Crap kabisa hii

MTU anajiita uzalendo halafu anapost topolo la kitumwa
 
Ccm mbele kwa mbele Lisu aendelee kukaa kwa amsterdam kwanza!

Mama 10 kumi tena au unaonaje bavicha?
Hata akitawala miaka 100 ninacho furahia ni kuwa Sukuma gang mnafurushwa na kupelekwa makoroboi na ikulu mtaisikia kupitia star tv
 
Mkuu sukuma ndio hao wana ccm walioko ikulu!

Kwani Lisu vipi yeye hana washabiki wasukuma?

Mama 10 tena
 
Back
Top Bottom