Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 3,585
- 8,106
Sukuma gang bado ana hasira sanaBado ubishi hujaacha tu wewe kijana.
Naona bado upo na hasira na majonzi ya kuomdokewa na babakoUpuuzi
Inatuhusu nini sisi ?
Ccm mbele kwa mbele Lisu aendelee kukaa kwa amsterdam kwanza!Naona bado upo na hasira na majonzi ya kuomdokewa na babako
Ni wivu tu🤣🤣Upuuzi
Crap kabisa hiiTaarifa: MwanaMfalme William na Mkewe Kate Leo Aprili 29, 2021 Wanasherehekea Kutimiza Miaka 10 Ya Ndoa Yao
MwanaMfalme William ambaye ni Mfalme mtarajiwa wa Uingereza na Mkewe Kate wamebarikiwa watoto 3 katika kipindi cha miaka 10 ya ndoa yao
Happy Anniversary
Hata akitawala miaka 100 ninacho furahia ni kuwa Sukuma gang mnafurushwa na kupelekwa makoroboi na ikulu mtaisikia kupitia star tvCcm mbele kwa mbele Lisu aendelee kukaa kwa amsterdam kwanza!
Mama 10 kumi tena au unaonaje bavicha?
Mkuu sukuma ndio hao wana ccm walioko ikulu!Hata akitawala miaka 100 ninacho furahia ni kuwa Sukuma gang mnafurushwa na kupelekwa makoroboi na ikulu mtaisikia kupitia star tv
Bila shaka umetoka kuachwa wewe siku siyo nyingi! Una hasira kama nyumbu aliye jeruhiwa!! 😇Upuuzi