Taarifa na mitandao ya Tanzania; ni kweli tuko salama katika vita hivi?

Mnyamahodzo

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2008
Posts
1,933
Reaction score
988
Kwa kadiri jamii ya watu inavyopata maendeleo ndipo tunaweza kuzungumzia zama moja hadi nyingine. Tulitoka zama za mawe, kisha zikaja za moto kabla ya zile za chuma ambazo zilikaa kwa kipindi kirefu kabla ya kufikia zama za nyukilia na zile za kompyuta/elektroniki. Na sasa tupo zama za taarifa (information era). Watu wanakazana kupata taarifa na kuzitumia, kutoa taarifa ili zitumiwe na kuzitafuta taaarifa na kuziharibu.
Ujasusi na vita vya sasa unahusisha na kupata tarifa za kielektroniki na kuzitumia, ikiwa sambamba na kuziharibu zile za adui/mpinzani wako. Mwaka 2011, vita hii ilionyesha tishio kubwa pale Mossad walipotengeneza Stuxnet dhidi ya nuclear program za Iran. Stuxnet ni kirusi kinachoshambulia/kuingia hata katika zile server which are highly secure andnot connbected to internet. (Zaidi waweza kusoma Mossad’s Miracle Weapon: Stuxnet virus opens new era of cyber war).
Maswali ya kujiuliza:

  1. Tanzania tunao ule utashi wa kisiasa katika kukilinda, kuchunguza na kupambana na maadui zetu katika cyber war?
  2. Tanzania imeweza kuwa na utashi wa kisiasa katika kuwapa nguvu wanataaluma kuandaa wataalamu wazalendo na kuwatimia sasa na wakati ujao?
  3. Ikulu ina email address za yahoo, server za wizara nyingi ziko katika IIS, mradi wa kuboresha servers na mtandao wa Ikulu umepotelea kusikoelezeka.
  4. Kama Tanzania tumeweza kushambuliwa kuwa Tanzania si salama kwa watalii (shambulio la kiuchumi) kwa sababu ya kila eneo kuwa na mbu wa malaria tulishindwa kujibu sembuse la cyber war?
  5. Kama products zisizo za Tanzania bado zinaendelea kuuzwa ulaya na Mashariki ya mbali zikiwa na maneno “from the land of Kilimanjaro” (shambulio la kiuchumi) na tumeshindwa kupinga sembuse la cyber war?
  6. Kama Wanyarwanda 2010 waliwahi kujitapa kuwa wanawatu wao hadi Ikulu ya Tanzania sebuse hili la cyber war?
  7. Je hadi sasa Tanzania inaingiliwa na hackers mara ngapi na kuibiwa taarifa nyingi kiasi gani?

Kama haitoshi Israel nao wamekuwa wakishambuliwa ama kuchunguzwa na hackers mbalimbali, katika habari yenye kichwa “Anti-Israel Hackers Threaten Cyber Warfare” kuwa :
On April 7, the eve of Israel’s Holocaust Memorial Day, a joint team of international hackers led by Hactivist Anonymous has threatened, on Facebook and other websites, to try and erase Israel from the internet. A hacker known as Anon Ghost initiated the event on Facebook and called it OpIsrael. The campaign was launched in March in order to express solidarity with the Palestinians. Anonymous will also be joined by several other Hactivist groups such as Sector404 and RedHack. The group has claimed that they have hacked into the Mossad’s website and accessed classified information, which was then leaked online. Analysts believe that the hackers will attempt to enter into Israeli government websites, as well as banks and credit card companies within Israel. The branches of the Israeli military including the Israeli Air Force have been training to stop and respond appropriately to computer attacks. “Protecting our systems is the most important mission of the force” said the IAF Head of the Aerial Formation who attended a meeting of high ranking Israeli military officials to discuss cyber attacks.
Andre Oboler, the CEO of the Online Hate Prevention Institute, upon researching the subject asserted that he has uncovered over 1350 targets ranging from research organizations like NGO Monitor to the Histadrut. The Israeli Foreign Ministry, the Israeli Finance Ministry, the Israeli Judiciary, the Prime Minister’s Office, the Knesset, and many other websites are going to be targets. In fact, even left wing organizations like the Association for Civil Rights in Israel is also expected to be hit by the hackers. Oboler claims that in addition to the 110 government servers, the hackers plan to go after 318 academic servers, 582 company websites, and 448 organizations. Oboler believes that the Israeli government websites should be able to withstand the challenge, yet there is a real danger to human rights and civic organizations that rely on shared servers.
In the past, Anonymous attacked Israeli government websites 44 million times. Some 700 Israeli websites have already thus fallen victim to cyber attacks in the past. In September 2012, it was revealed that hackers have targeted the Israel Electronics Corporation between 10,000 and 20,000 times per day. In early 2012, hackers also hacked into Bank Hapoelim and Bank Leumi, as well as three major Israeli credit card companies and the Tel Aviv Stock Exchange.
 
Last edited by a moderator:
My conviction is that top secret material should remain manual, not matter what. Yaani docket zozote za serikali ambazo ni moto, yaani for any immediate action, zisiingie kwenye computer. Manual records ni safer kuliko computerized material. Kwa hiyo tuzunguzie kuchanganya past techniques na present techniques kutunza siri za nchi. Computers are not safe.

Nafikiri unataka kusema kuwa unashawishika kwa serikali kuzifanya nyaraka zake zote za siri kuwa katika makaratasi/hard copy badala kuwa katika kompyuta/soft copy.

Kama hivyo ndivyo, mbona zinaweza kuibiwa ama kuharibiwa wakati zinachapwa. Hebu soma namna kurusi cha Stuxnet kinavyofanya kazi.

Lakini panua wigo wa kufikiri kwa kuangalia taasisi kama vile Benki Kuu, mabenki, NECTA,TCU, Vyuo vikuu vya Tanzania, mitandao ya wizara na IKULU (website &webpage), TBS, Research Centres, makampuni ya simu, n.k.

Hivi wakiamua kuattack taasisi 400 unafikiri kitakuwa ni kilio cha namna gani Tanzania?
 
Hukunielewa Mkuu. Katika dunia ya leo, hakuna siri sana. Siri imebaki kwenye action plan; au nisema operational plan. Na haya kwa kiasi kikubwa ni short run. Haya ndiyo ambayo napendekeza yasiwe yanaingizwa kwenye computer.
 
Sasa nimekuelewa mkuu unamaanisha nini.
Nivumilie pale niliposhindwa kukuelewa. Tuko pamoja.
 
Back
Top Bottom